Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Makolo wapewe urogaji boraBaada pumzi yao kukata.. Vita imehamia kwa Fiston Mayele na Mpole japo sio mchezaji wao.
Sasa basi kwa kuwa mwaka huu nia yetu ni kuhakikisha tunapa mateso makali..
YANGA BINGWA NBC..
YANGA BINGWA FA
FISTON MAYELE- MFUNGAJI BORA.
DJUMA SHABAN-BEST PLAYMAKER
YANICK BANGALA-MCHEZAJI BORA
BAKARI NONDO-BEST CENTRE BACK
Hivyo vyote tumevibeba msimu uliopita na Wala hatuna kelele,Ila uto hata ubingwa bado mmeanza kutapika.Baada pumzi yao kukata.. Vita imehamia kwa Fiston Mayele na Mpole japo sio mchezaji wao.
Sasa basi kwa kuwa mwaka huu nia yetu ni kuhakikisha tunapa mateso makali..
YANGA BINGWA NBC..
YANGA BINGWA FA
FISTON MAYELE- MFUNGAJI BORA.
DJUMA SHABAN-BEST PLAYMAKER
YANICK BANGALA-MCHEZAJI BORA
BAKARI NONDO-BEST CENTRE BACK
Hapana kwakweli......Halafu kwa namna Yanga tulivyo wala haturingi!Hivyo vyote tumevibeba msimu uliopita na Wala hatuna kelele,Ila uto hata ubingwa bado mmeanza kutapika.
Simba haikupoteza kizembe! Haya msimu wa 2020/2021 Simba alipoteza michezo mitatu na kutoa sare michezo mitano. Maanake wamepoteza jumla ya point 25. Yanga mpaka sasa wakiwa wamebakiza mechi nne wametoa sare michezo 7 maanake wamepoteza point 14. Kwahiyo Yanga wanatakiwa wafungwe mechi zote tatu na kutoa sare mechi moja ndio watakuwa sawasawa na Simba kwa point za kupotezaYanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe 🤣Uto...muacheni Kaze timu, mtoe sare mechi zote mlizobakiza mchukue ubingwa kwa mbwembwe.
Ila jumamosi mtajua hamjui.
Chukwu emeka zipompa Shadeeya Its Pancho ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu
lete mrejesho.MAKOLO wataupita huu uzi Kama vile hawauoni [emoji23][emoji23][emoji23]
GO GO GO! GO! GO! .....WANANCHIIIIIIIII
yanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
yanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Unamaanisha Mayele hataweza kutetema kwenye michuano ya kimataifa ?yanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.
Unawweza kubisha kwasababu zako long ndiyo ukweli.
Hifadhi maneno yangu.
Mayele hamfikii hata huyu kagere aliyezeeka.Unamaanisha Mayele hataweza kutetema kwenye michuano ya kimataifa ?
Scars Ghazwat Championship NAWATAFUNA
Manara anavyowajaza ujinga wanaona wapo sawa na simba mpaka aliwadanganya wanaanza hatua ya mtoano wakakubali ikawa wanausharingiria ule msekule wao [emoji23][emoji23]yanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.
Unawweza kubisha kwasababu zako long ndiyo ukweli.
Hifadhi maneno yangu.
Yaah ni kweli Yanga kimataifa hatuwezi kushinda mpk tufanye usajili wa kutisha ila simba hata akiwa na kikosi cha kipumbavu cha msingi tu uchawi uwepo na wautumie vzr na watashindayanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.
Unawweza kubisha kwasababu zako long ndiyo ukweli.
Hifadhi maneno yangu.
Usipaniki ndugu....chukulia poa tu.Yaah ni kweli Yanga kimataifa hatuwezi kushinda mpk tufanye usajili wa kutisha ila simba hata akiwa na kikosi cha kipumbavu cha msingi tu uchawi uwepo na wautumie vzr na watashinda
Hivi mechi za kimataifa zina tofauti gani na za ligi? Maana timu zote zinazoshiriki huko, ziko kwenye ligi za ndani za nchi zao..yanga haina timu ya kushinda mechi kimataifa. Labda wafanye usajili wa nguvu sana.
Unawweza kubisha kwasababu zako long ndiyo ukweli.
Hifadhi maneno yangu.
Wale jamaa kule jukwaani si uliwaona? Tumewapumzisha kwa ajili ya kazi moja tu; kumchinja mnyama wa kumnywa supu siku ya kusherehekea ubingwa wetu.Uto...muacheni Kaze timu, mtoe sare mechi zote mlizobakiza mchukue ubingwa kwa mbwembwe.
Ila jumamosi mtajua hamjui.
Chukwu emeka zipompa Shadeeya Its Pancho ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu
Baada pumzi yao kukata.. Vita imehamia kwa Fiston Mayele na Mpole japo sio mchezaji wao.
Sasa basi kwa kuwa mwaka huu nia yetu ni kuhakikisha tunapa mateso makali..
YANGA BINGWA NBC..
YANGA BINGWA FA
FISTON MAYELE- MFUNGAJI BORA.
DJUMA SHABAN-BEST PLAYMAKER
YANICK BANGALA-MCHEZAJI BORA
BAKARI NONDO-BEST CENTRE BACK
Kwa simba uchawi wenyewe wanachukulia poa tu,ila wanayanga tukisikia uchawi lazima tupanic mzeeUsipaniki ndugu....chukulia poa tu.
Kwanini mpaniki ? huo uchawi waliwafanyia nyie ?Kwa simba uchawi wenyewe wanachukulia poa tu,ila wanayanga tukisikia uchawi lazima tupanic mzee
Tunapanic kwasababu Taifa letu linachafuliwa wachawi wachache kimataifaKwanini mpaniki ? huo uchawi waliwafanyia nyie ?