Acha ufyatu...Tunapanic kwasababu Taifa letu linachafuliwa wachawi wachache kimataifa
Kwahyo kama Taifa hatupo tayari kuona kikundi kidogo cha wachawi kinatoa sifa mbaya kwa Taifa letuAcha ufyatu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawaa mtani.Na hapo ndo mtajua hamjui Mtani.
Miaka 4 mlikua ndani ya maumivu, unasahau mapema hivyo mtani lolAma kweli kukosa ubingwa kunaumiza aisee. [emoji28]
Poleni jamani. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayele hata hajamaliza kutetema watu wamerudisha goli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima ampige, kipigo hakikwepekiAsipompiga? 😁
Lazika! SawaLazika ampige, kipigo hakikweki