NBC Premier League msimu huu timu zimesajili sana

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Acha kabisa, timu zimesajiki na kila timu inataka kuwafunga yanga inabidi Yanga tukaze buti kwelikweli.
 
Hersi hanaga baya soon ataanza kuwadunda wenzie
 
Acha kabisa, timu zimesajiki na kila timu inataka kuwafunga yanga inabidi Yanga tukaze buti kwelikweli.
Hakuna timu ya kuifunga Yanga msimu huu. Tukutane mwezi wa sita mwakani kuhesabu tuzo kwenye makabati.
 
Kama kuna timu imesajili kwa ajili ya kuifunga Yanga, basi ijiandae tu kwa maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…