Na Kigoma nikakupasua [emoji3][emoji3][emoji3]Kama tulivyo nunua ya mikia ngao ya jamiii
Hebu ficha umbumbu wako, Metacha yupi unayemuongelea wewe.Mpaka sasa Metacha anapokea mshahara wa Utopwenga.
Kwani utopoloni Kuna mwenye akili zaidi ya baba manara na mzee kikwete[emoji3][emoji3]Hauko sawa, unahitaji msaada ili uwe timamu kichwani
Ubingwa wa kununua shikhalo kashavuta M5 zake[emoji3][emoji3]Magori tulia..hii Yanga ni yakubeba NBC premier league mapema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma goal ya mchongoNa Manula huwa anapewa pesa na Yanga eeee
Uwanja tatizo,mpira aukai mguuni,leo hata fundi daktari aucho kastruggle sana.Bangala leo anapoteza mipira tuu
Aahh wewe mavi ya zamani hayanuki,halafu mpaka red cardNa Kigoma nikakupasua [emoji3][emoji3][emoji3]