NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
1,773
Reaction score
688
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !!
 
Wazee wa mafeki/China nao wameanzisha card network yao inaitwa Cha Ching, wanataka ku-compete na Visa, Master Card, Discovery na American Express. Subirini hiyo nayo
 
Wazee wa mafeki/China nao wameanzisha card network yao inaitwa Cha Ching, wanataka ku-compete na Visa, Master Card, Discovery na American Express. Subirini hiyo nayo

Hiyo ya kichana wala sintatia mkono. Jinsi majumba yanvyoungua na minyaya yao feki, si ndo itakuwa unatoa hela kwenye atm kumbe ndo inahamia kwao uchinani. Akhaaa, kwa hilo watakuwa wameinvest kihasara kwenye hii area
 
Cha Ching!!
 
Je umejaribu kuwauliza ni lazima mtu aende mkoani alikofungulia account au anaweza kuchukua head office Dar, badala ya kutumia pesa kusafiri?
 
USA kweli inaongoza dunia hii.

Ndiyo maana Australia kwa sasa kuna kampeni ya kutengeneza cards local kwa ajili ya ku-combat fraud! But as of now it is all the way VISA, Mastercard, American Express etc.
 
Ndiyo maana Australia kwa sasa kuna kampeni ya kutengeneza cards local kwa ajili ya ku-combat fraud! But as of now it is all the way VISA, Mastercard, American Express etc.

Bila kusahau Discover card...
 
Gaddaff alikuwa anataka kututoa huko lakini tukampuuzia!! Sasa naweza kusema "tume - reset" tena. Kama ilikuwa inakaribia kuwa 1, now we are back to 0. Hahahah!

What do we have to do with Gaddafi?
 
Gaddaff alikuwa anataka kututoa huko lakini tukampuuzia!! Sasa naweza kusema "tume - reset" tena. Kama ilikuwa inakaribia kuwa 1, now we are back to 0. Hahahah!

upuuzi kabisa. alitaka kukutoa huko akupeleke wapi?
 
What do we have to do with Gaddafi?

Gadaff have at least a plan to isolate africa from the western country economically through initiating and fund rising for the so African Investment bank (AIB), also through the AMF which would help the african country to borrow fund at a reasonable interest than IMF, he also Supported the fund for lunching of African Communication Satellite.

Kuna vitu vingi kutoka kwa Gaddaff, ila kwa sababu umagharibi umetufunika tuendeleeni hivyo hivyo. I am not trying anyway to say Gadaff was the only man to help africa from the new-colonialism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…