new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Habarini wana jamvi, polen na majuku, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Kwa wale watu wote ambao bado ni wateja wa Benk ya NBC, hv mwafahamu kila mwezi wa tano Nbc ina charge 10.000 kwa ajili ya ATM card application kwakila akaunti ya mteja haijalish atm ime-expire au nzima, hunayo au hauna, mbaya zaidi hii kitu imefanywa bila hata notes kwa wateja, na hata kwenye tariffs guide ambaya kwa mujibu wa sheria za benki tanzania hasa ile ya Publication ni lazima hzi tozo zionekane kwenye tariffs guide ya benk husika, ila kwa nbc hii kitu haipo na bado hawaja taarifu wateja uwepo wa hii charge.

Hapa kuna kitu wateja wa Bank hatukijua na hukimbilia tu kufungua accounts.
Ila acha tusubirie wazoefu waje
Kaka, mie ni mzoefu wa benk wa muda mwing, ndugu service charges zote huwa zatakiwa kua displayed (tariff guide) sasa mie baada ya kukuta hizi charges ndo nkuliza inakua vp? Ndo nkaambiwa imeanza tangu mwaka jana, nkauliza mbona hawakutoa notes y new charges kwa customerz wao? Na kwa nn hata tarif guide haina hzo info? Hawakua na jibu la kuniambia..Bot please check hii mambo