kwa wale wanaoenda kuupdate taarifa zao kwenye NBC wataona jinsi gani formu zilivyoandikwa as if eeryone is opening islam banking account..............what a shame bank yenye hisa za serikali kuwa taste ya udini shameeeeeeeeeeeeeee je tuseme basi na NMB iwe na christian banking ................. imenikwaza sana na naenda kutoa mabillion yangu kule kama haitayumba.
Christians...mbona hamjiamini?
A public declaration of faith is a powerful way to reinforce your belief!it is not necessary to know that you are a Muslim
Islamic Banking, sio Islamic Bank. ni mfumo wa ku bank kwa kufata sharia za kiislaam, haumzuii yeyote kufanya hivyo na ni mfumo mzuri tu na benki nyingi duniani wana vitengo vya Islamic Banking. Tena hata wewe unaweza kuufata kwani ni mfumo mzuri sana.
Usiogope neno Islaam, maana yake ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu.
:iamwithstupid:REJEO AU REJAO?:lock1:
acha kupotosha umma mkuu,nani kakwambia kuwa islamic banking ni special kwa waislaam!mi ni mkristo but nina hiyo akaunti,shame on u,ni account ambayo hela tunazo deposit zinapelekwa kweny clear investments na siyo kukopeshwa watu wenye business kama ,guest,bar,breweries n.k