NBS: Idadi ya wasio na ajira imepungua nchini

Hayo NBS ni wapuuzi kabisa.
Watu tunateseka mtaani bila hata kupata kibarua, halafu wao wanakuja na huo ujinga wao wa kutunga.
 
Nchi hii inakwamishwa na wasomi kazi yao ni kujipendekeza kwa wanasiasa..............huu ni uupuzi.
 
Tatizo la ajira linapunguaje iwapo 'mwajiri mkuu' hajatoa ajira mpya kwa zaidi ya miaka miwili? This is a pure lie!
 
Halafu imepewa fent fod kabisa kwenye vyombo vya habari.!!
 
Hiyo ofisi ya takwimu ni genge la waimba mapambio tu
 
Safi sana... hizi zote n juhud za mheshimiwa rais, anazid kutekelezea kwa vitendo
 
Hilo tatizo limepunguaje ikiwa serikali iko na muda mrefu haijatoa ajira. Na huku private sekta hali inazidi kuwa mbaya kila siku.
 
Halafu magu anasema atakaye kwenda kinyume na takwimu za hawa watu akamatwe na kushughulikiwa!
Hivi Rais wetu anatambua asemacho?
 
Hii ni taarifa inayotakiwa kutolewa kila baada ya miezi mitatu(robo mwaka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…