Hapa umesema kweli yaani zoezi liharibike kisa yeye kafanyiwa weusi, huu si wakati wa kulalamika ni muda wa kujipigapiga kifua na kusema hii ndio Tanzania tunayoifahamuZoezi halitaharibika litaenda vzr isipokuwa watu wamenyimwa haki bila sababu za msingi..uzembe wa hali ya juu..