OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.
Maoni yangu:
Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema data za kutoa inabidi ziende hadi miaka mingine kabla ya COVID19 ili kuweza kuona percentage increase ya kila mwaka.
Tunapotumia mwaka 2021 kama bench mark, kunakuwa na shida kwa kuwa dunia ilikuwa katika lockdown na wameanza kuondoka kwenye lockdown hivi karibuni.
Ni muhimu NBS watoe data za miaka mingi iliyopita ili tuwe katika namna nzuri ya kuanalyse hizi data pamoja ili kuevaluate royo tuor.
Nawasilisha.
Mkoba Mfuko