OLS JF-Expert Member Joined Oct 12, 2019 Posts 457 Reaction score 773 Aug 1, 2025 #1 Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida. Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa Open University atuwekee data tuendelee na analysis. Jaribu kuangali data za BEST hapa Allbest | PO-RALG
Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida. Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa Open University atuwekee data tuendelee na analysis. Jaribu kuangali data za BEST hapa Allbest | PO-RALG
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Aug 1, 2025 #2 Tuliza wenge. Kasome ilani.
OLS JF-Expert Member Joined Oct 12, 2019 Posts 457 Reaction score 773 Aug 1, 2025 Thread starter #3 and 300 said: Tuliza wenge. Kasome ilani. Click to expand... Ilani ina data?