Sensa ya nchi yeyote ni mali ya RAIS wa nchi husika kama ilivyo bajeti ya nchi. NBS ni technical Experts tu wa Sensa. Refer to the Statistical Act!!!! Una swali lingine?Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais haijakaa sawa!
View attachment 2337621
Huyu mama Lanlady anaboa sasa. Kila siku ni kuleta haya mambo yasiyo na miguu wala mikono. Mwambie Sensa ni part of the Tanzania Population Policy. Hivyo coordinator wake (Enzi hizo ilikuwa ni Planning Commission) sasa ni Ofisi ya Waziri Mkuu. Ndiyo maana Maratibu ni Waziri Mkuu. Huyu mama haelewi kitu badala ya kuuliza anaanzisha hoja. NBS wantoa utaalam tu katika maseuala ya sensa. Sensa ni mali ya Mkuu wa nchiNaamini ukibaki msomaji wa kawaida kama mimi hupungukiwi na kitu ,ona sasa tutataka kujua uwezo wako wa kufikiri na kiwango chako Cha Elimu.
Naomba nikujibu kwa uelewa wa wengi na utaniambia kama hujaridhika.
Kwanza tambua sensa ni Rais na Rais ni sensa, zoezi hili toka mwanzo msimamizi Mkuu ni Rais kwa Sababu taarifa za maswali ya sensa yatamsaidia Rais kutekeleza majukumu yake ipasavyo na ni Rais ndio anatakiwa kuwataka, kuwaomba na kuwasihi watu washiriki zoezi Hilo.
Hapo aangaliwi mtu maarufu kwa Sababu hata kingwendu ni maarufu kuliko Anna Makinda ,hapo kinachoangaliwa ni nani mwenye uhitaji wa taarifa za sensa kati ya Anna Makinda na Rais Samia?. Jibu ni Rais Samia, kama ndivyo basi ni yeye ndio kuwaomba watu taarifa hizo.
Mtazamo wangu
Yawezekana mtazamo wangu usiwe sahihi lakini una ukweli ndani yake, zoezi hili Upinzani wanaona kama ni moja ya siasa za CCM. Mtanzamo huo unafanya wapinzani wengi washindwe kushiriki zoezi hili muhimu kwa kujua au kutokujua.
Uhalisia
Uhalisia wa zoezi hili ni kwamba sensa ni mkakati wa maendeleo kwa watu hivyo Rais kuwa mstari wa mbele kukuhamasisha ni kwa nafasi aliyonayo katika maendeleo ya nchi yetu. Rais Kama mdau namba moja wa maendeleo ni lazima aone umuhimu wa kila mtu kushiriki
Kwani sensa hii ndiyo ya kwanza kwenye hii nchi?Sensa ya nchi yeyote ni mali ya RAIS wa nchi husika kama ilivyo bajeti ya nchi. NBS ni technical Experts tu wa Sensa. Refer to the Statistical Act!!!! Una swali lingine?
Ukiuchukia ukweli ni vigumu kukubaliana na wanaouzungumza.Huyu mama Lanlady anaboa sasa. Kila siku ni kuleta haya mambo yasiyo na miguu wala mikono. Mwambie Sensa ni part of the Tanzania Population Policy. Hivyo coordinator wake (Enzi hizo ilikuwa ni Planning Commission) sasa ni Ofisi ya Waziri Mkuu. Ndiyo maana Maratibu ni Waziri Mkuu. Huyu mama haelewi kitu badala ya kuuliza anaanzisha hoja. NBS wantoa utaalam tu katika maseuala ya sensa. Sensa ni mali ya Mkuu wa nchi
Shida yetu tunatamani kupinga kila kituSijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais haijakaa sawa!
View attachment 2337621
Tuna vilaza wengi Tz!Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais haijakaa sawa!
View attachment 2337621
kwa matazamo wako huo, nachelea kusema unahitaji elimu zaidi ya masuala ya kisiasa na kijamii. Sensa sio siasa. Haihitaji mbwembwe nyingi!Naamini ukibaki msomaji wa kawaida kama mimi hupungukiwi na kitu ,ona sasa tutataka kujua uwezo wako wa kufikiri na kiwango chako Cha Elimu.
Naomba nikujibu kwa uelewa wa wengi na utaniambia kama hujaridhika.
Kwanza tambua sensa ni Rais na Rais ni sensa, zoezi hili toka mwanzo msimamizi Mkuu ni Rais kwa Sababu taarifa za maswali ya sensa yatamsaidia Rais kutekeleza majukumu yake ipasavyo na ni Rais ndio anatakiwa kuwataka, kuwaomba na kuwasihi watu washiriki zoezi Hilo