Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 172 Feb 5, 2012 #1 Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1. Hongereni vijana wa Mageuzi!
Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1. Hongereni vijana wa Mageuzi!