Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Uzuri ni ahadi hewa, uchaguzi ukiisha wanaambulia patupu.Wameahidiwa viti vya mchongo na CCM.
Chama cha Mashushushu.Hawa ni tawi la ile idara ya ikulu. Walianzishwa mahisusi ili ku hijack mchakato wa uanzishwaji wa vyama vingi.
Soma majina ya waanzilishi wa hicho chama. Ni maafisa wa hiyo idara watupu.
Watashinda kwa kishindoKatibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni za Maadili yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tawi la CCM hilo! Wala hakuna cha ajabu hapo!Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni za Maadili yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025