Uchaguzi 2020 NCCR Mageuzi tegemeo jipya kwa wapenda mabadiliko

Kina nani hao Mkuu
Mkuu, Wapo, hawana mipaka wale, waliombea Corona lije ili liuwe wazee wote nchini Kwa kuwa wazee waipigia Kura CCM, sijui Wenzetu wazee wao walishatangulia Mbele za haki!!

Wanatukana mapatano ya Watanzania kuombea Corona!! Na kama laana IPO,basi inapaswa Itafune hicho kikundi chote kisambaratike tu!

Wazee watu Kwa nini wasitoe laana ikipate hicho kikindi!!!?[/QUOTE]
 
Ni kile chama kilichomtosa Dr slaa?

Itakuwa wanaadhibiwa kwa dhambi ya kumsaliti dr slaa [/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…