Elections 2010 NCCR-Mageuzi wajipanga kupinga ushindi wa Mdee mahakamani

Huyu jamaa wa umoja wa kitaifa naye......... alikalia kujadili mambo ya umoja wa kitaifa kwenye kampeni badala ya sera, imwekula kwake!

jamaa huyu sikuwahi kumsikia akiomba kura mabali ya porojo za umoja wa kitaifa, yeye alikuwa akiongea kama kiongozi tayari nasiyo mgombea!

akachukuwe kura za anjera aongezee mdee atamwongezea kidogo kutoa aibu ya kupata kula 10,000 wakati wanawake wana 100,000.
 

.
Ni wa jinsia gani? Acha utani bana Mbatia ni mwanaume tena wa shoka. Ana mke na watoto au...?
Kuhusu kushawishi kupigiwa kura kijinsia aanze kuliburuza bunge la sisiem mahakamani kwa kutumia kigezo cha jinsia kumpata spika.
 

.
Ni wa jinsia gani? Acha utani bana Mbatia ni mwanaume tena wa shoka. Ana mke na watoto au...?
Kuhusu kushawishi kupigiwa kura kijinsia aanze kuliburuza bunge la sisiem mahakamani kwa kutumia kigezo cha jinsia kumpata spika.
 
Du tutafika tumechoka. Huyo huyo anataka vyama vya upinzani viungane bungeni. hizo kama sio double standards basi ni double talk.
 
Huyu sasa naona anaelekea ile safari ya Mrema,ila masikitiko yangu ni kwamba yu bado kijana tofauti na mwenziye.
 
Mwacheni Mbatia ana haki zake kikatiba.
Kama anadhani atafanikiwa sawa. Lakini akishindwa atakuwa kakiweka chama katika hali ngumu na inaweza kumuathiri kiuongozi pia.
 
Hivi kweli NCCR-MANUNUZI wanataka Kawe iongozwe na mbunge ambae sio rizki?
 
Hivi huyu Mbatia alikuwa mshindi wa ngapi? Ndiyo maana anaambiwa katumwa na CCM kugombea.
 
"huyu jamaa ni jinsia gani?" mhhhh, nimeipenda hii. Huyu bwana na chama chake wajue kuwa jambo moja ni muhimu na liko wazi, nalo ni kwamba watanzania wanataka mageuzi ya khmfumo, kifikra, kiuchumi, khvamaduni, khuchumi n.k. Aaache long6long6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…