Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi yazindua Ilani ya chama "ILANI YA MUAFAKA WA KITAIFA"

Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi yazindua Ilani ya chama "ILANI YA MUAFAKA WA KITAIFA"

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
Leo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu Elizabeth Mhagama amesema Ilani iliyozinduliwa imepewa jina kuwa katiba ya "Muafaka wa Kitaifa"
nccrmageuziofficial_118732069_612193382822839_312652734645885142_n.jpg

nccrmageuziofficial_118870694_1551274638388528_2351365908218034862_n.jpg

nccrmageuziofficial_118766156_1256774171340091_3664900243452460887_n.jpg
 
Safi tunaona ufundi wa majina nawashauri fanyeni kama Anna mghwira 2015 fungasheni ilani zote mkamkabidhi Magufuli siku ya kutangazwa kwake mshindi!
 
Leo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu Elizabeth Mhagama amesema Ilani iliyozinduliwa imepewa jina kuwa katiba ya "Muafaka wa Kitaifa"
View attachment 1559574
View attachment 1559576
View attachment 1559577
NCCR mmejimaliza wenyewe pale mlipo kubali kununuliwa na ccm, sasa hivi hamna mvuto tena ni sawa na TLP na cuf ya lipumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpo kwa ajili ya ruzuku
Pesa ya walipa kodi
Kiongozi anawadanganya lakini mmo tu
Maslahi binafsi tumewasoma
Nchi ina vimbwanga hii haina mfano
 
Back
Top Bottom