NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Hao ni wenzenu yaani ccm B wacha kuwatoa kasoro wewe bawabu wa lumumbaSafi tunaona ufundi wa majina nawashauri fanyeni kama Anna mghwira 2015 fungasheni ilani zote mkamkabidhi Magufuli siku ya kutangazwa kwake mshindi!
NCCR mmejimaliza wenyewe pale mlipo kubali kununuliwa na ccm, sasa hivi hamna mvuto tena ni sawa na TLP na cuf ya lipumbaLeo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu Elizabeth Mhagama amesema Ilani iliyozinduliwa imepewa jina kuwa katiba ya "Muafaka wa Kitaifa"
View attachment 1559574
View attachment 1559576
View attachment 1559577
Act si mlisema maneno haya haya!Hao ni wenzenu yaani ccm B wacha kuwatoa kasoro wewe bawabu wa lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za ACT kawaulize wao, hapa ni mpambano kati ya CDM na ka ccmAct si mlisema maneno haya haya!
Tatizo lao ni njaaa wanaivalia kibwayaMpo kwa ajili ya ruzuku
Pesa ya walipa kodi
Kiongozi anawadanganya lakini mmo tu
Maslahi binafsi tumewasoma
Nchi ina vimbwanga hii haina mfano