Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,324 Reaction score 13,967 Apr 21, 2010 #1 Wakuu hebu iwahi hii ipo kwenye attachment, nimechelewa kuiweka (ahsante kwa aliyenitumia) lakini deadline bado, apply haraka before April 30, 2010 Attachments PhD_Scholarship_Announcement_RP14-Tanzania_final.pdf PhD_Scholarship_Announcement_RP14-Tanzania_final.pdf 118.5 KB · Views: 178
Wakuu hebu iwahi hii ipo kwenye attachment, nimechelewa kuiweka (ahsante kwa aliyenitumia) lakini deadline bado, apply haraka before April 30, 2010
Mwana wa Mungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2008 Posts 1,003 Reaction score 85 Apr 21, 2010 #2 hahaha, nilijua ni NCCR chama. ningefurahi kusikia siku moja, chadema, NCCR, Cuf au hata sisiemu inatoa scholarship watu wasome. wangeweka hata scholarship competition fulani walau kuhamasisha vijana wetu wasome.
hahaha, nilijua ni NCCR chama. ningefurahi kusikia siku moja, chadema, NCCR, Cuf au hata sisiemu inatoa scholarship watu wasome. wangeweka hata scholarship competition fulani walau kuhamasisha vijana wetu wasome.