Typical myopic views. Hii inaweza kuwa imekuja mapema sana kwa vile uko fixated kwenye uchaguzi wa 2020 ambapo sioni kama kuna upinzani utakaoshinda; wanaweza kupunguza asilimia ya kushinda lakini chance ya kuvuka 50% ni ndogo sana kama siyo kuwa haipo kabisa. Mimi nimejaribu kuangalia beyond 2020. Hizi dynamics za vyama vya upinzani ni mbovu sana kuliko dynamics za CCM na NCCR at least kwa hali ya sasa. Iwapo NCCR itaimarika itakuwa na sifa za kuwa tishio zaidi kwa CCM kuliko CHADEMA na ACT. Anyway, keep your myopism and I will keep my hypermetropism.What the different between nccr and ccm , I think you supposed to deceive ignorant people,
Typical myopic views; hii inaweza kuwa imekuja mapema sana kwa vile uko fixated kwenye uchaguzi wa 2020 ambapo sioni kama kuna upinzani utakaoshinda; wanaweza kupunguza asilimia ya kusinda lakini chance ya kuvuka 50% ni ndogo sana kama siyo kuwa haipo. Mimi nimejaribu kuangalia beyond 2020. Hizi dynamics za vyama vya upinzani ni mbovu sana kuliko dynamics za CCM na NCCR at least kwa hali ya sasa. Iwapo NCCR itaimarika itakuwa na sifa za kuwa tishio zaidi kwa CCM kuliko CHADEMA na ACT. Anyway, keep your myopism and I will keep my hypermetropism.
You must have been born yesterday; those who were there in 1995 know very well how NCCR harassed and humiliated CCM to run for their money. Most likely Mkapa's vote of 1995 is the lowest a CCM presidential candidate has ever garned followed by that 2010.Nccr is the political party which planted by ccm in order to weakened The real opposition.
You must have been born yesterday; those who were there in 1995 know very well how NCCR harassed and humiliated CCM to run for their money. Most likely Mkapa's vote of 1995 is the lowest a CCM presidential candidate has ever garned followed by that 2010.
Tumia Kiswahili. Huna haja ya kuonekana kilaza kwa kuharibu lugha za wengine.What the different between nccr and ccm , I think you supposed to deceive ignorant people,