Nchi 10 ambazo hazifahamiki duniani

1, 4 na 9 ni nchi maarufu kidogo.
Zinafahamika kuliko nchi nyingi za Kiafrika, hata Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Bila shaka wewe nd'o huzif'aham
 
Mbona tunazifahamu
 
1. Kiribati siijui
2. Niue...siijui

Hizo tu
 
Guyana ndio hiyo ambayo Venezuela anataka kujigawia kipande kibabe
 
Ngoja nikale krimasi na watoto wa mjini kiribati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…