Nchi 10 bora Zinazoongoza kwa Kutegemea Misaada ya Kigeni Dunia

Muda si mrefu tutatoka kwenye hiyo list, ukizingatia tunaye mchumi first class kwenye nchi yetu akiwa na division one kutoka ilboro na kusoma pale chuo cha magenius Kilimani sijui Mlimani city na ndiye Waziri wetu wa fedha.
 
Nashindwa kuelewa Tanzania inaingiaje kwenye kumi bora ya nchi tajiri Afrika? Huu umasikini tulionao tunakuwaje taifa la kumi Afrika?
 
Bongo tunatembeza bakuli kama tupo vitani.

Nchi ina amani lakini ipo kundi moja na Afghanistan.

Ufisadi ni kitu kibaya sana.
 
Tanzania ya 9 nadhani wamekosea,zile Land Cruiser V8 zaidi ya 90 kwenye msafari wa uleeeee kumbe siyo dona countly (in voice ya bwana yule).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…