Nchi 10 za kiafrika zilizoongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kwa mwaka 2022

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio duniani.

Nadhani kuna mushkeli mahali. Hata mimi last month niliingia vyanzo vingi sikuiona Tanzania katika top 10 countries kwenye gold production
 
Haimo, sisi ni watu wa tambo tu na porojo na ukweli ni kwamba vyote tunavyo zalisha tunazalisha kwa kiwango kidogo sana ndio maana hatuwezi kuonekana hata kwenye top ten.

Utashangaa kwa uzalishaji wa dhahabu tunazidiwa hata na nchi kama Mali, Ghana, Burkina Faso, Sudan na Misri na hata Msumbiji itatupita kwa siku zijazo ila sisi kelele ndio nyingi na propaganda.
 
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio duniani.

Kwani hujui kuwa nchi yetu ni ya kisanii? Mafanikio kidogo, watu watapiga kelele utadhani sisi ndiyo wa pekee Duniani.

Nilishangaa watu waliposhangilia na kujisifu kwa sifa za ajabu baada ya kujengwa lile daraja la juu la pale TAZARA na Ubungo, kama vile ni kitu cha pekee sana. Wakati kwenye nchi nyingine, tena za Afrika, wanajenga madaraja kama hayo, interchange zile za maduaa na flyovers, kimya kimya huwezi kusikia wanapiga kelele, na wala hayafunguliwi na Rais. Kwetu sisi kitu kidogo, kilele zake utafikiri tumevumbua kitu ambacho hakijawahi kuwepo Duniani.

Fikiria watu mnaacha kufanya kazi mnaenda kupokea ndege. Je, ingetokea tumetengeneza ndege au hata gari tu, si tungepumzika kufanya kazi na kushangilia kwa mwaka mzima? Waliotengeneza, wanaona ni kitu cha kawaida, unayenunua unaona ni maajabu!!

Fikiria waziri wa mambo ya kigeni anaenda kwenye mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa UNGA, anaenda kuhutubia kuwa nchi imepata mafanikio makubwa sana, imeweza kujenga vyoo vya matundu kwa kila shule!! Kama vile nchi nyingine hawana vyoo.
 
Tulikuwa na Rais mshamba sana 2015-21 ambaye alikuwa anataka masifa tu ya uwongo. Akawaaminisha na watanzania uwongo ambao wanaushikilia mpaka leo.

Nilikuwa Form VI wakati Nyerere ananunua zile Boeing 2 za ATC, sikumbuki kuona watu wakienda kuzipokea pale Kipawa. Anyway Mungu amemtoa huyo Magufuli ili tuirudishe nchi yetu kwenye misingi.
 
Kitu ambacho Tanzania inayo kwa wingi ni gas reserves; itakuwa ni kubwa mnooooooooo kushinda ilivyoelezwa na watafutaji.

Equinor, Shell and Exxon Mobil; sio watu wakucheza ligi ya mchangani kwenye ‘Oil and Gas’ investment; ukiona hayo majina elewa hiyo reserve sio ya kitoto.

Halafu wawe tayari kutupa $42 billion ina maana wanauhakika wa kurudisha hiyo hela; kuna data wanazo ambazo serikali aina ndio maana wanataka na visima vinavyoingiliana waachiwe wao kuviendeleza automatic (unitisation) vikibainika in the future.
 
Magufuli alikuwa mtu moja mshamba sana.
 
Nadhani kuna mushkeli mahali. Hata mimi last month niliingia vyanzo vingi sikuiona Tanzania katika top 10 countries kwenye gold production
Siasa nyingi, hata kwenye reserve hakuna kitu. Wanasiasa watakuambia nchi imefanyiwa utafiti robo tu. Sasa si mfanye hiyo kilo. Siasa nyingi
 
Back
Top Bottom