Nadhani kuna mushkeli mahali. Hata mimi last month niliingia vyanzo vingi sikuiona Tanzania katika top 10 countries kwenye gold productionIfuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio duniani.
Top 10 richest mineral-producing countries in Africa
Africa is home to vast and abundant reserves of natural resources, with resources ranging from black gold popularly known as oil to large reserves of cobalt, found all across the mineral-rich lands of the Congoafrica.businessinsider.com
Haimo, sisi ni watu wa tambo tu na porojo na ukweli ni kwamba vyote tunavyo zalisha tunazalisha kwa kiwango kidogo sana ndio maana hatuwezi kuonekana hata kwenye top ten.Nadhani kuna mushkeli mahali. Hata mimi last month niliingia vyanzo vingi sikuiona Tanzania katika top 10 countries kwenye gold production
Kwani hujui kuwa nchi yetu ni ya kisanii? Mafanikio kidogo, watu watapiga kelele utadhani sisi ndiyo wa pekee Duniani.Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio duniani.
Top 10 richest mineral-producing countries in Africa
Africa is home to vast and abundant reserves of natural resources, with resources ranging from black gold popularly known as oil to large reserves of cobalt, found all across the mineral-rich lands of the Congoafrica.businessinsider.com
Tulikuwa na Rais mshamba sana 2015-21 ambaye alikuwa anataka masifa tu ya uwongo. Akawaaminisha na watanzania uwongo ambao wanaushikilia mpaka leo.Kwani hujui kuwa nchi yetu ni ya kisanii? Mafanikio kidogo, watu watapiga kelele utadhani sisi ndiyo wa pekee Duniani.
Nilishangaa watu waliposhangilia na kujisifu kwa sifa za ajabu baada ya kujengwa lile daraja la juu la pale TAZARA na Ubungo, kama vile ni kitu cha pekee sana. Wakati kwenye nchi nyingine, tena za Afrika, wanajenga madaraja kama hayo, interchange zile za maduaa na flyovers, kimya kimya huwezi kusikia wanapiga kelele, na wala hayafunguliwi na Rais. Kwetu sisi kitu kidogo, kilele zake utafikiri tumevumbua kitu ambacho hakijawahi kuwepo Duniani.
Fikiria watu mnaacha kufanya kazi mnaenda kupokea ndege. Je, ingetokea tumetengeneza ndege au hata gari tu, si tungepumzika kufanya kazi na kushangilia kwa mwaka mzima? Waliotengeneza, wanaona ni kitu cha kawaida, unayenunua unaona ni maajabu!!
Fikiria waziri wa mambo ya kigeni anaenda kwenye mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa UNGA, anaenda kuhutubia kuwa nchi imepata mafanikio makubwa sana, imeweza kujenga vyoo vya matundu kwa kila shule!! Kama vile nchi nyingine hawana vyoo.
Siasa nyingi, hata kwenye reserve hakuna kitu. Wanasiasa watakuambia nchi imefanyiwa utafiti robo tu. Sasa si mfanye hiyo kilo. Siasa nyingiNadhani kuna mushkeli mahali. Hata mimi last month niliingia vyanzo vingi sikuiona Tanzania katika top 10 countries kwenye gold production
DahKwa hiyo wewe naliwe Mama yako alitombwa bila kupanua?