Nchi 10 Zenye Amani Duniani Tanzania haipo Kwenye Nchi Zenye Amani.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
13227073_10156812276075198_6939311753290505938_n.jpg

NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI
Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu
wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi wa kura wala ubabe wa kung'ang'ania madaraka.
Global peace index imetoa orodha ya nchi zenye amani duniani
Hizi ni nchi 10 zenye amani zaidi duniani

10.Norway
Norway ni miongoni mwa nchi zenye usalama, idadi ya wafungwa katika nchi hiyo ni ndogo. Pia ni nchi inafanya vizuri katika maswala ya afya na furaha.

9.Sweden
Ni moja ya nchi ya kiscandinavia zilizo katika nafasi ya juu ya amani, Sweden inajulikana kwa wingi wa barafu na kipupwe cha mda mrefu. Maisha bora na mfumo wake mzuri wa ustawi wa jamii unaifanya Sweden kushika nafasi za juu

8.Canada
Ni nchi inayolipa vizuri kaya zake kwa wastani wa $28,000 kwa mwaka,na pia ina nafasi nzuri za kazi

7.Finland
Nchi hii haina rushwa na matabaka baina yao ni kwa kiasi kidogo sana. Inafanya vizuri katika usawa wa kijinsia.Pia ina mfumo mzuri sana wa elimu duniani

6.Japan
Ni nchi ya watu waliostaharabika sana na ina miundo mizuri ya usafirishaji.Wajapan wanafanya kazi sana ila wametengeneza nchi yao na kuwa na amani na iliyoendelea sana kiteknolojia

5.Switzerland
Siri ya nchi hii kuwa na fuaraha na jamii yenye afya ni mamlaka za nchi hiyo kuweka nguvu zaidi katika kuwapa watu wake elimu bora, huduma bora za afya na kuwaajiri sana watu wake.

4.Austria
Nchini Austria kijana wa miaka 16 anaruhusiwa kupiga kura ila pombe inaruhusiwa kwa watu waliofikisha miaka 18 na kuendelea.Ni nchi yenye gharama nafuu na uhalifu katika nchi hii upo viwango vya chini sana.

3.New Zealand
Nchi yenye watu wachache, watu wa nchi hii ni wakarimu na wanapenda kufurahia mazingira na kujihusisha katika michezo

2.Denmark
Wadenmark inasemekana kuwa ni watu wenye furaha zaidi kuliko mataifa mengine yote duniani.Twakwimu zinaonyesha motisha za wafanyakazi zipo juu sana na kuna mfumo mzuri wa ustawi.Kodi zao zipo juu lakini fedha wanazotoa zinatumika kweli kwa ajili ya matumizi sahihi na kwa utaratibu mzuri.

1.Iceland
Uhalifu ni kama hamna kabisa katika nchi hii,(1.8 per 100,000) ni nchi yenye watu walioelimika
 
View attachment 2993579

Wewe hawa wezi kila kona amani itatoka wapi? Ukitembea na gari lazima upandishe vioo juu sasa hapo kuna amani?
 
Tanzania amani yake ya uvugu uvugu tu.
Nchi gani ikifika usiku saa 3 unaanza kujishauri unapitaje kichochoroni!?
Hayo mataifa ulotaja kusikia mtu kakabwa kwenye chochoro ni nadra.
 
Hii nchi ambayo albino wanawindwa kama wanyamapori,ulitegemea iwepo kwenye orodha ya nchi enye amani?Vipi yule mtoto albino aliyetekwa kule Kagera last week ameshapatikana?
 
Back
Top Bottom