MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Jun 6, 2024 #21 Nchi masikini kama yetu inaingia vipi kwenye nchi zenye amani!
Euphra JF-Expert Member Joined May 17, 2023 Posts 522 Reaction score 1,082 Jun 29, 2024 #22 Tuna nidhamu ya woga
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Jun 29, 2024 #23 George Charles007 said: Ila watu wa hizo nchi hapo top ten huwa wanakuja bongo kutalii π©π©π© Click to expand... kwamba unahis Tanzania ina amani kisa utalii ? wenzetu wanapenda kuzurur dunian na hawaji Tz tu bali hata nchi za Asia wanaenda pia
George Charles007 said: Ila watu wa hizo nchi hapo top ten huwa wanakuja bongo kutalii π©π©π© Click to expand... kwamba unahis Tanzania ina amani kisa utalii ? wenzetu wanapenda kuzurur dunian na hawaji Tz tu bali hata nchi za Asia wanaenda pia
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jun 29, 2024 #24 Bongo hakuna amani ila tunawaogopa waliopo madarakani, kama ukifungua vifua vyetu, wengi wetu tuna makasiriko, ila nani atamfunga paka kengele, Sisi wabongo ni MAKUNGURU hatari. ππ€£
Bongo hakuna amani ila tunawaogopa waliopo madarakani, kama ukifungua vifua vyetu, wengi wetu tuna makasiriko, ila nani atamfunga paka kengele, Sisi wabongo ni MAKUNGURU hatari. ππ€£
George Charles007 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2024 Posts 217 Reaction score 337 Jun 29, 2024 #25 4by94 said: kwamba unahis Tanzania ina amani kisa utalii ? wenzetu wanapenda kuzurur dunian na hawaji Tz tu bali hata nchi za Asia wanaenda pia Click to expand... Hakuna utalii kwenye sehem za vita. Hakuna utalii kule Ukraine, Gaza, Jerusalem! Kuwepo kwa utalii kunashiria amani.
4by94 said: kwamba unahis Tanzania ina amani kisa utalii ? wenzetu wanapenda kuzurur dunian na hawaji Tz tu bali hata nchi za Asia wanaenda pia Click to expand... Hakuna utalii kwenye sehem za vita. Hakuna utalii kule Ukraine, Gaza, Jerusalem! Kuwepo kwa utalii kunashiria amani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 29, 2024 #26 Huu utafiti una walakini... Cc: Mahondaw