Nchi 10 zinazoongoza kwa kununa, wivu, chuki, machungu na majungu duniani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu utafiti umefanywa kisayansi, kwamba nyingi zipo Afrika na ni sababu tosha kwanini hili bara linaongoza kwa umaskini, maana limebarikiwa kwa raslimali za kila aina, vivutio bora vya watalii, madini, bahari, maziwa, mito na kila kitu lakini limejaa watu wenye machungu na majungu, wanaoishi kwa kuonena wivu na chuki kila uchao.

Trump alilitukana hili bara tukapiga makelele lakini ndio hivyo hamna jinsi. Nchi tatu zinazoongoza duniani kwa hayo yote ni kama vile Afrika ya Kati, Burundi na kakake Tanzania. Yaani Burundi na Tanzania ni ndugu wa kufaana, wamewakilisha Afrika ya Mashariki bila kukawia. Hii ni wazi kwanini mada zote za mafanikio ya Kenya hazitaisha matusi ya kutokea kwa Watanzania maana ndio hulka yao.

Ndio maana kunao wanaokesha huku upande wa Kenyan news wakifuata kila taarifa nzuri za Kenya na kuzikojolea, wengine hata hawasubiri wanawe uso asubuhi kabla ya kuja huku, ni kitu kipo kwenye vinasaba (DNA), hawana jinsi ya kujikwamua, itabidi tuwe tunawaelewa.

-------------------------------------------------------------------

Eight of the 10 least happy countries in the world are in Africa, according to a United Nations-commissioned report.

The World Happiness Report (WHR), published since 2012, has found that happiness is less evident in Africa than in other regions of the world. While there are 54 African nations, the report tracks the happiness of 44 African countries polled by Gallup World Poll (GWP).
The least happy country in the world was the Central African Republic, followed by Burundi and Tanzania. Other African nations such as Rwanda, Togo, Guinea, Liberia and South Sudan were also at the bottom of the ranking of 155 countries. Algeria, Mauritius, Libya and Morocco ranked as the happiest African countries.

In contrast, Norway has jumped from 4th place in 2016 to 1st place this year, followed by Denmark, Iceland and Switzerland.

The WHR ranking is based on a simple question asked to more than 1,000 people every year in each country.

"Imagine a ladder, with steps numbered from 0 at the bottom to 10 at the top. The top of the ladder represents the best possible life for you and the bottom of the ladder represents the worst possible life for you. On which step of the ladder would you say you personally feel you stand at this time?".

In the report'section focusing on Africa, academics Valerie Møller, Benjamin J. Roberts, Habib Tiliouine and Jay Loschky analysed statistics to explain why one country is happier than another by using factors such as attitudes toward law and order, institutions and infrastructure including perceived corruption, economic strength, jobs, well-being, and other topics.

The experts found that only two out of 54 African nations – Sierra Leone and Cameroon – have made gains in happiness over the past 10 years.

"There are also considerable inequalities in life evaluations in African countries, and this inequality in happiness has increased over the past years," the report stated.

Experts, however, stressed that 21st Century Africa "is no longer associated only with 'endless famine, disease, and dictatorship'", for the Africa Rising narrative "overturned earlier stereotypes, projected a continent with a growing urban middle class market with new consumer appetites".

The African continent is home to about 16% of the world's population – some 1.2 billion people.

Eight of the 10 least happy countries in the world are in Africa, claims UN-sponsored report
 
Kama kawa kama dawa, jirani zetu wanatuwakilisha vyema ikifika ni kwenye maswala kama haya. Hongera zao.
 
yaani Libya na yote hayo lakini wana furaha sio??
basi ngoja na huku 255 kinuke labda na sisi tutaanza tabasamu zaidi
 
Kinachowapa wa Libya furaha katikati ya kinachoitwa kuwa ni vita na matatizo ni nini? Au tunadanganywa kuwa kuna vita huko wakati ni tambarare tu na watu wanafurahia maisha huko?
 
hivi furaha ya mtu unaipimaje???hii mitakwimu nayo ukianza kuifuatilia unajiona msomi kumbe boga tu!!mbona bongo watu wako poa tu??
sasa ona wa-libya nao eti wanafuraha kuzidi wa tz..huu si uchizi huu??
 
Yaani kwa akili tu ya kawaida bila kuingia ndani sana.
Somalia, Yemen, Syria, Afghanistan, Libya woote hawa are happier than Tanzanians?

Duuu naombeni maji ninywe kwanza!!!
 
Huu utakuwa ujinga wa kiwango cha lami.
Hatuna vita halafu tuzidiwe na Somalia ,Libya na hata Rwanda?
Hao watafiti wametumia vigezo gani kutoa hitimisho hili la ajabu?
 
Huu utakuwa ujinga wa kiwango cha lami.
Hatuna vita halafu tuzidiwe na Somalia ,Libya na hata Rwanda?
Hao watafiti wametumia vigezo gani kutoa hitimisho hili la ajabu?

Halafu marekani kule ambako watoto wanapigwa risasi mara kwa mara mashuleni is among the countries leading kwa furaha.

Tushirikidhe vizuri ubongo wetu tunaposoma vitu.
 
Tutakuwaje na furaha wakati raisi wetu mpendwa anataka tuishi kama mashetani?

Kwa NYIE mliozoea kupiga hela enzi hizoo lazima mlie tu. Lkn kwa wenzenu siye, maisha YAKO vile vile.
 
Kwa NYIE mliozoea kupiga hela enzi hizoo lazima mlie tu. Lkn kwa wenzenu siye, maisha YAKO vile vile.
"Kupiga hela", "maisha yako vile vile" vinahusianaje na kauli ya kutaka watu waishi kama mashetani?
 
K
"Kupiga hela", "maisha yako vile vile" vinahusianaje na kauli ya kutaka watu waishi kama mashetani?
Kwani waTanzania wanalalamikia nini. Mpaka msamiati mpya ukaanzishwa VYUMA kukaza. Chanzo ni pesa.
 
Kama Kenya pamoja na kunya kwenye mifuko ya rambo, kulala kwenye mabanda ya nguruwe, kuuliwa na polisi hovyo kama wanyama wa porini, na kufa kwa njaa kama wadudu bado wana furaha, basi hilo taifa ndiyo sababu lipo katika kundi la failed states.
Hata mapovu yawatoke kiasi gani, tumewakatalia kuingia Tanzania bila passport, Magu anazidi kuwaminya na uchumi wenu unazidi kuporomoka, nchi inafilisika, hasira zenu kwa Tanzania ni bure, roho mbaya zenu ndiyo sababu ukabila haumaliziki, mnashindwa na Rwanda wametulia wanajenga nchi yao, ninyi ni kama wanyama wa porini, very uncivilized country katika karne ya leo bado mnabaguana kwa makabila, stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…