Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo Yatokanayo na Utajiri wa Madini Afrika.Tanzania Bado Tunajikongoja

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.

Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia Mafuta,Dhahabu Hadi chumvi Kwa Wingi zaidi.

Hata kwenye Dhahabu ambako tuandhani tuna utajiri ,hakuna kitu.
Screenshot_20240602-183319.jpg
Screenshot_20240602-183334.jpg

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795926825182376143?t=ae6ktzHuRD01fwDY288QJg&s=19

My Take
Tanzania pamoja na kelele nyingi za Kisiasa ila hatuna Madini yeyote ya maana ambayo tunauza Kwa Wingi yaani ni kama tunabangaiza Kwa kugusa gusa Kila mahala 😁😁.

Nashauri Tanzania tujikite kwenye biashara za logistics na kuwa gateway to East and Central Africa,Utalii,Kilimo na Bidhaa za uvuvi ndio tuna comparative advantage 👇👇

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795813548708249835?t=DHmVitDzDjyxwjxH2z7iUA&s=19
 
baadhi ya watanzagiza wanafikiria madini=dhahabu kumbe dhahabu ni sehemu ndogo tu ya madini meengi yapatikanayo elsewhere pia, isitoshe katika resource rich countries afrika, tanzagiza hata top ten haipo …
 
Ukiangalia hapo utaona ni sera hizo nchi zote ulizotaja zina sera nzuri sana za uwekezaji kwenye sector mbalimbali Sasa hapa kwetu sera nadhani sio nzuri

Utawekeza kwenye mgodi akija waziri ,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,mbunge usipomuhonga unaanza fujo na raia watakaombiwa mabaya Yako Kila siku ni mnafukuzana na raia kama ndege na shamba la mpunga
 
Sera nzuri bila reserves ya kutosha hakuna maana .

Hata hivyo Tanzania tuna sera nzuri za madini hasa zinazohusu Wachimbaji wadogo ndio maana Nchi kadhaa zimekuja kujifunza.
 
Hata kwenye Dhahabu hakuna kitu ni kubahatisha ndio maana tumejaza Wachimbaji wadogo 👇👇

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795363075639427250?t=P_m5D7pt0-Gfbr2p_LKsXg&s=19

hapo nafikiri ni vitu viwili tofauti, nionavyo wamemaanisha wenye akiba ya dhahabu kama benki kuu na siyo dhahabu ya ardhini, kwa kuchimba dhahabu tumo nafikiri namba 3 au 4 lkn 5 bora tumo (thanks to B.Mkapa RIP), ila akiba ya dhahabu kwa mbadala wa fedha hicho ni kitu kingine hauhitaji kuwa na mgodi kuwa na akiba ya dhahabu …
 
Sawa ila tunachoweza sisi ni hiki hapa 👇

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795190712696197355?t=JE6XvXNsr9teb1J2CgYaTQ&s=19
 
Mkuu hata utalii hatuna advantage yoyote.

Sisi tunaongoza afrika kua na vivutio vingi vya asili lakini watalii hawaji tu kuangalia vivutio vya asili kama simba, chui, swala ama twiga, hivyo unaviona kwenye tv tu inatosha.

Kuna vitu vingine kama miundombinu, usafi, mipangilio wa miji nk. Morocco haina simba wala chui ila inapokea watalii zaidi ya 10m kwa mwaka, sio kwa sababu ya chui, ni kwa sababu ya miundombinu mizuri.

South Afrika, Misri nk xinapokea watalii zaidi ya 10m sio kwa sababu ya chui, kwa sababu Serengeti ni nzuri kuliko Kluger national park, watalii wanajaa south sababu ya miundombinu.

Tanzania nchi ilishalaaniwa hakuna mahala tutaenda. Mbaya zaidi nchi iko chini ya ccm ndio tusahau kabisa.
 
Tanzania sijui tuna matatizo gani yaani
 
baadhi ya watanzagiza wanafikiria madini=dhahabu kumbe dhahabu ni sehemu ndogo tu ya madini meengi yapatikanayo elsewhere pia, isitoshe katika resource rich countries afrika, tanzagiza hata top ten haipo …

Watanganyike wajue hili. Wamefungwa akili kwa kujiona special kumbe hamna kitu.
 
Mkuu hata utalii hatuna advantage yoyote.

Sisi tunaongoza afrika kua na vivutio vingi vya asili lakini watalii hawaji tu kuangalia vivutio vya asili kama simba, chui, swala ama twiga, hivyo unaviona kwenye tv tu inatosha.

Kuna vitu vingine kama miundombinu, usafi, mipangilio wa miji nk. Morocco haina simba wala chui ila inapokea watalii zaidi ya 10m kwa mwaka, sio kwa sababu ya chui, ni kwa sababu ya miundombinu mizuri.

South Afrika, Misri nk xinapokea watalii zaidi ya 10m sio kwa sababu ya chui, kwa sababu Serengeti ni nzuri kuliko Kluger national park, watalii wanajaa south sababu ya miundombinu.

Tanzania nchi ilishalaaniwa hakuna mahala tutaenda. Mbaya zaidi nchi iko chini ya ccm ndio tusahau kabisa.

I couldn't agree more. Additionally dunia ya Leo utalii ni more of exploration than guided tourism. Mtalii anataka akifika sehemu azunguke mwenyewe to engage with the local environment na kusave costs kuliko kuzunguka na guides muda wote. Mazingira ya Tanganyika hayaruhusu hilo.

Ukienda nchi zingine unaweza zunguka mwenyewe kila Kona hata kama umefika Leo ila bongo hujui uanzie wapi. Kila kitu kipo shaghalabhagala. Ukitoa airport bongo sehemu zingine zote hazieleweki, ferry ndo usiseme. Return rate ya watalii ndogo mno. Mtu hataki kurudi tena zile purukushani.

Utalii is directly proportional na miundombinu nje ya tourist sites zenyewe.
 
Back
Top Bottom