Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Awamu hii imamm wenu mkuu anafanya niniEmbe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi.
Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar.
Hizi ni Chini 10 duniani zinazoongoza katika uzalishaji wa maembe.
1. India
2. China
3. Thailand
4. Indonesia
5. Mexico
6. Pakistan
7. Brazil
8. Egypt
9. Bangladesh
10. Nigeria na Malawi
Mdau wa matunda JF/JA
Awamu hii imamm wenu mkuu anafanya nini
China ipo kwenye top ten ya almost kila kitu. Mpaka uzalishaji wa sato (ambao asili yao ni Africa)Embe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi.
Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar.
Hizi ni Chini 10 duniani zinazoongoza katika uzalishaji wa maembe.
1. India
2. China
3. Thailand
4. Indonesia
5. Mexico
6. Pakistan
7. Brazil
8. Egypt
9. Bangladesh
10. Nigeria na Malawi
Mdau wa matunda JF/JA
Nyie acheni vituko bana πππAwamu hii imamm wenu mkuu anafanya nini
Rainbow ndo tunda gani?rainbow je?