Nchi 25 ikiwemo Kenya zimeanza kutuma wagonjwa kuja kutibiwa Tanzania badala ya India ili kupunguza gharama

Mention them..

Usitutajie Tundu Lissu maana case yake inajulikana..Angetibiwa hapa bongo angemalizwa hukohuko wodini.
Mundosya Huwa anakuja kutibiwa Kenya. Nikuongeze wengine?
 
tukileta video ya Wakenya wametibiwa na wakiishukuru JKCI utasemaje?
Coz you think hatuwezi leta tanzanians, let him show us where they have mentioned Kenya ama kenya imekua SADC country?
 
Coz you think hatuwezi leta tanzanians, let him show us where they have mentioned Kenya ama kenya imekua SADC country?
Huyu mama anakiri kumpeleka mtoto wake KCMC Hospital,Moshi

Huyu hapa daktari anathibitisha kwamba Kenya inaleta wagonjwa kutibiwa Muhimbili

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…