#COVID19 Nchi 8 zapigwa Ban kuingia Marekani kufuatia kirusi cha Omicron

#COVID19 Nchi 8 zapigwa Ban kuingia Marekani kufuatia kirusi cha Omicron

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kirusi cha COVID19 aina ya Omicron kilichogundulika Afrika Kusini ambacho awali kilitambulika kama B.1.1.529 kimeonekana hatari zaidi ya virusi vilivyotangulia

Ili kupambana na kirusi hicho, Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoruhusu watu kutoka nchi nane za Afrika kuingia Marekani ili kudhibiti usambaaji wake

Nchi zilizozuiwa ni Botswana, Eswatini, Lesotho, Malawi, Mozambique, Namibia, Afrika Kusini and Zimbabwe

=====

At least 15 countries ban travel from southern Africa as the ‘Omicron’ Covid variant of “concern” emerges

President Biden announced Friday the US will follow around 15 countries to ban travellers from Botswana, Eswatini, Lesotho, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa and Zimbabwe. (NYT)

"As a precautionary measure until we have more information, I am ordering additional air travel restrictions from South Africa and seven other countries,” Biden said.

The UN recognized the new Covid strain, first referred to as lineage B.1.1.529 and now named ‘Omicron,’ as a variant of concern.

RT News
 
Wadwanzi wanataka watuweke tena ndani Mzanzi
 
Back
Top Bottom