Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa.

Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni 10 zimeona idadi yao ikipungua katika muongo mmoja uliopita.

Wengi ni Wazungu. Kando na Ukraine, ambayo idadi ya watu imepungua kutokana na uvamizi wa Urusi, idadi ya watu katika Italia, Ureno, Poland, Romania na Ugiriki inapungua.

 
Wanaogopa kuzaa eti watashindwa kuhudumia watoto, matokeo yake wanazeeka na kufa na hakuna ongezeko

Athari za kutokuzaa watoto na kuzaa ni bora kuzaa, kwani mataifa yenye uchumi mkubwa wanahitaji wahamiaji kwa sababu hizi za watu kuziba mapengo kwenye kazi zao

Ndio maana nchi za kiarabu hawahitaji wahamiaji wa kuishi milele kwa sababu wanazaa haswa
Mtu mmoja ana watoto sio chini ya 5 au zaidi wengine wana watoto mpaka 20
Na mafuta yamejaa kwa hiyo wanafaidi wao

Tatizo letu waafrika tunazaa sana ila akili hakuna na wanaopata madaraka wanakuwa waizi wa kupindukia huku wakiitana kwa kujuana na kuboresha familia zao huku wengine wakiburuzwa kama ng'ombe na wanaikubali hali hiyo hata hii karne ya 21 bado ni mazezeta

Australia, Canada, [emoji631] na hata nchi kama UK na European countries bado wanahitaji wahamiaji kila mwaka mpaka takwimu zinawekwa kuwa wanahitaji watu wangapi kila mwaka, ndio maana unakuta wakati mwingine wahamiaji haramu wanapokelewa na kupewa makazi na maisha ili wajaze mapengo hayo na wafanye kazi walipe kodi na maisha yaende
 
The design is to have 500mil people in the world. Hata mkijitahidi kuzaa, the plan is in place.... From War... Diseases... Homosexuality.... Pills.... Food/Gmo's and other junk food......... ... Plan Yao itafika sawa tu.
 
znz inakadiliwa kupungua na kuongezeka bara huku wakijitaka kujitenga
 
Back
Top Bottom