Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Jun 11, 2008 #1 hivi karibuni ndege imeripuka nchini sudan ikiwa kiwanjani KRT kutokana na machafuko ya hali ya hewa. nnakumbuka nchi hii ni ajali nyingi hutokea na viongozi wengi wa upinzani na serikali wamefariki kwa ajili za ndege. sasa kulikoni? na jee iko nchi africa inayoipiku nchi hii?
hivi karibuni ndege imeripuka nchini sudan ikiwa kiwanjani KRT kutokana na machafuko ya hali ya hewa. nnakumbuka nchi hii ni ajali nyingi hutokea na viongozi wengi wa upinzani na serikali wamefariki kwa ajili za ndege. sasa kulikoni? na jee iko nchi africa inayoipiku nchi hii?
M Masaka JF-Expert Member Joined Oct 1, 2007 Posts 437 Reaction score 1 Jun 11, 2008 #2 Mtu wa Pwani said: hivi karibuni ndege imeripuka nchini sudan ikiwa kiwanjani KRT kutokana na machafuko ya hali ya hewa. nnakumbuka nchi hii ni ajali nyingi hutokea na viongozi wengi wa upinzani na serikali wamefariki kwa ajili za ndege. sasa kulikoni? na jee iko nchi africa inayoipiku nchi hii? Click to expand... kulingana na habari, inaonekana hakuna nchi inayopiku Sudan. Labda zingine hazitangazwi, you never know
Mtu wa Pwani said: hivi karibuni ndege imeripuka nchini sudan ikiwa kiwanjani KRT kutokana na machafuko ya hali ya hewa. nnakumbuka nchi hii ni ajali nyingi hutokea na viongozi wengi wa upinzani na serikali wamefariki kwa ajili za ndege. sasa kulikoni? na jee iko nchi africa inayoipiku nchi hii? Click to expand... kulingana na habari, inaonekana hakuna nchi inayopiku Sudan. Labda zingine hazitangazwi, you never know
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jun 11, 2008 #3 ndiyo.. nchi hiyo inaitwa Angola! na ya pili ni DRC..
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Jun 12, 2008 Thread starter #4 mkjj sijawahi kusikia habari za nchi hizo kama sudan, maana karangi, Saleh Mohammed Twaha na wengine wengi ktk viongozi wa juu walifariki kwa ajali za ndege seuze makabwela ni wengi tu
mkjj sijawahi kusikia habari za nchi hizo kama sudan, maana karangi, Saleh Mohammed Twaha na wengine wengi ktk viongozi wa juu walifariki kwa ajali za ndege seuze makabwela ni wengi tu