Kaka nchi yoyote ni uongozi ukiwa na viongozi wasio na vision kila kitu kinaharibika..qatar wanashindana sana na uae(united arabs emirates)wakati dubai wamejenga jengo refu kuliko yote duniani (burj khalifa)lenye gorofa zaidi ya 165 qatar wakaumiza kichwa wafanye nini cha tofauti..kaka watalii wanaokwena kupanda lile gorofa kwa siku ni wengi kuliko watalii wanaotembelea mbuga zetu kwa mwezi...siku moja nilikuwa off nikaamua kwenda kupanda,nisingekuwa mwenyeji nisingeweza maana watu walikuwa ni wengi kupita kiasi na unatakiwa ufanye booking kiingilio ni tsh 50000/ile rift iliyofungwa pale ni spidi ya ajabu..kwenye hizi lift zetu kabda hujafika kwenye ghorofa ya 10 ile unakuwa umefika ghorofa ya 165!!!what a speed!!!!nchi ni uongozi kiasi cha mafuta kilichopo nigeria ni mara kumi ya mafuta yaliyopo qatar na uae kwa pamoja...miaka ya nyuma ni nchi chache sana duniani zilizokuwa na big five animals(chui..tembo..simba..twiga..nyati)nk kwa ajiri ya utalii..sisi tz tulikuwa navyo na mpaka sasa tunavyo..leo hii nchi jangwa kama qatar na uae pia wanavyo(tuliwauzia)sasa ni nani atayekuja kuwaangalia hao wanyama huku wakati ata kule wapo ???utalii unashuka...qatar inatawaliwa na familia ya al thani ni mfalme mwenye pesa hawana ufisadi maana pesa waliikuta tangu wanazaliwa