LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 288
- 251
Wakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS).
Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular technologist.
Lengo la kuandaa uzi huu ni kutaka kujua ni nchi gani Africa inatoa hii programme, kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili ningeomba anidokeze Japo hata kidogo.
Nawasilisha.