LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 288
- 251
Kaka naomba namba yako tujuzane kuhusu Hilo swalaWakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS).
Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular technologist.
Lengo la kuandaa uzi huu ni kutaka kujua ni nchi gani Africa inatoa hii programme, kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili ningeomba anidokeze Japo hata kidogo.
Nawasilisha.
Hivi kaka unataka ukasome Kwa level ipi hii kozi?Wakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS).
Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular technologist.
Lengo la kuandaa uzi huu ni kutaka kujua ni nchi gani Africa inatoa hii programme, kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili ningeomba anidokeze Japo hata kidogo.
Nawasilisha.
[emoji16][emoji16]kaka huna muongozo wowote hapo ndg yanguNgoja waje kukupa muongozo...
Mbona kimya kaka naomba tuwasilianeWakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS).
Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular technologist.
Lengo la kuandaa uzi huu ni kutaka kujua ni nchi gani Africa inatoa hii programme, kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili ningeomba anidokeze Japo hata kidogo.
Nawasilisha.
SawaMbona kimya kaka naomba tuwasiliane