Nchi gani yenye uchawi mkali duniani?

Nchi gani yenye uchawi mkali duniani?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi.

Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India 🇮🇳, Nigeria 🇳🇬, Romania 🇷🇴 na Uchina 🇨🇳 .

Kama wewe unamjua kigogo mwingine hebu muongeze orodhani. Msimtaje Mshana Jr Kama ni kigagula, huyu braza hajui lolote ila anajua tu ku halucinate
 
UK university offering postgraduate degree in witchcraft ..​

Uchawi hufuata jamii jinga zaidi. Mwanadamu akistaarabika uchawi hukimbia. Nchi zote zisizostaarabika au kuwa na maendeleo makubwa huwa na uchawi zaidi. Hata makabila hapa nchini uchawi ni mkubwa kwenye makabila yaliyo primitive zaidi.
Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi.

Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India 🇮🇳, Nigeria 🇳🇬, Romania 🇷🇴 na Uchina 🇨🇳 .

Kama wewe unamjua kigogo mwingine hebu muongeze orodhani. Msimtaje Mshana Jr Kama ni kigagula, huyu braza hajui lolote ila anajua tu ku halucinate
hawi
 
Uchawi hufuata jamii jinga zaidi. Mwanadamu akistaarabika uchawi hukimbia. Nchi zote zisizostaarabika au kuwa na maendeleo makubwa huwa na uchawi zaidi. Hata makabila hapa nchini uchawi ni mkubwa kwenye makabila yaliyo primitive zaidi.

hawi
Tanzania, Romania na Uingereza wapi kuna wajinga zaidi?

Romania na Uingereza kuna uchawi wa kutisha na society zao za kichawi zinajulikana dunia nzima
 
China ni No1 moja wengine wakasome uzuri uchawi wa wachina wanautumia kwa faida
 
Uchawi wa mchina kwenye kujenga madaraja unaharibu maisha ya nani
Ndani ya uchawi kuna mambo huyajui! Maeneo korofi ambayo unatakiwa kujenga daraja ndio makazi ya mashetani makubwa/makorofi. Kwahiyo kabla ya kujenga daraja lazima uende kwa waganga na wapandisha pepo waongee nayo ili yawaruhusu vinginevyo hujengi! Sasa chakula ya mashetani ni damu na miili ya binadamu! Ukiona watu wanapotea unadhani wanaenda wapi? Yatataka damu ya wanadamu labda tuseme mia 100. Ue na uhakika watatafutwa kama ni kuchinjwa au kufukiwa au kuuliwa watafanya hivyo. Mwisho wa siku unaona daraja linajengwa lakini hujui roho za watu waliopotea! Wengune wanachukuliwa misukule ili ndo ikajenge usiku! Utakuta mradi mgumu kweli lakini wafanyakazi wawili na mshine zao kumbe wanatumia misukule
 
Back
Top Bottom