KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi.
Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India 🇮🇳, Nigeria 🇳🇬, Romania 🇷🇴 na Uchina 🇨🇳 .
Kama wewe unamjua kigogo mwingine hebu muongeze orodhani. Msimtaje Mshana Jr Kama ni kigagula, huyu braza hajui lolote ila anajua tu ku halucinate
hawiKuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi.
Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India 🇮🇳, Nigeria 🇳🇬, Romania 🇷🇴 na Uchina 🇨🇳 .
Kama wewe unamjua kigogo mwingine hebu muongeze orodhani. Msimtaje Mshana Jr Kama ni kigagula, huyu braza hajui lolote ila anajua tu ku halucinate
Tanzania, Romania na Uingereza wapi kuna wajinga zaidi?Uchawi hufuata jamii jinga zaidi. Mwanadamu akistaarabika uchawi hukimbia. Nchi zote zisizostaarabika au kuwa na maendeleo makubwa huwa na uchawi zaidi. Hata makabila hapa nchini uchawi ni mkubwa kwenye makabila yaliyo primitive zaidi.
hawi
Wanakuroga usifanikiweKigoma
Uchawi wa mchina kwenye kujenga madaraja unaharibu maisha ya naniHivi uchawi unafaida gani zaidi ya kukuharibu na kuharibu maisha ya watu?
Mh. Kishimba alishauri hili jambo wakaishia kumcheka bungeniUK university offering postgraduate degree in witchcraft ..
UK university to offer postgraduate degree in witchcraft and the Occult
“Whether or not one believes in magic, it is still worthy of academic rigor because human beings have practiced magic for thousands upon thousands of years, and therefore it is worthy of study and …nypost.com
Ndani ya uchawi kuna mambo huyajui! Maeneo korofi ambayo unatakiwa kujenga daraja ndio makazi ya mashetani makubwa/makorofi. Kwahiyo kabla ya kujenga daraja lazima uende kwa waganga na wapandisha pepo waongee nayo ili yawaruhusu vinginevyo hujengi! Sasa chakula ya mashetani ni damu na miili ya binadamu! Ukiona watu wanapotea unadhani wanaenda wapi? Yatataka damu ya wanadamu labda tuseme mia 100. Ue na uhakika watatafutwa kama ni kuchinjwa au kufukiwa au kuuliwa watafanya hivyo. Mwisho wa siku unaona daraja linajengwa lakini hujui roho za watu waliopotea! Wengune wanachukuliwa misukule ili ndo ikajenge usiku! Utakuta mradi mgumu kweli lakini wafanyakazi wawili na mshine zao kumbe wanatumia misukuleUchawi wa mchina kwenye kujenga madaraja unaharibu maisha ya nani