Kuna watu wanajua kuwafanya wengine mazezeta wa kisiasa kuweni makini wapendwa, naona wengi mmeshapoteza akili zenu na kufika hatua ya kushukuru pale mnapodhulumiwa.Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Nimepita kule Dodoma vituo karibu vyote haviuzi mafuta isipokiwa Puma tu. Nasema haviuzi na siyo kweli kwamba havina mafuta. Leo ni siku ya Jumanne tarehe 30/6/2020. Kesho ni tarehe Mosi Julai 2020 na ni Jumatano ya kwanza ya mwezi ambayo EWURA hutangaza bei mpya za mafuta. Nasubiri kesho ili niwaeleze nini kitajiri kuhusu mafuta kupotea ghafla.Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
TPDC inajipanga kuanza biashara ya mafuta. Tusubiri tuone hawa manyang`au watafanya nini tena.Tunabembelezana sana nchi hii, serikali iwafutie leseni wapuuzi wote wanaogoma kuuza mafuta kwa bei elekezi.
Isiishie hapo, itaifishwe hivyo vituo na kuwapa wafanyabishara walio tayari kuuza mafuta.
Nimerusha jiwe gizaniUmejitahidi, masaa 10 like 1 na hii yangu ya pili [emoji106][emoji106]
Hizo ni sababu za kitoto mnoo. sishangai kama uliiba mitihani wewe. inawezekana vipi mtu ahifadhi mafuta kwenye madumu ili iweje? ndo maana mlipita kwenye maduka ya watu na kupora sukari zao ati wanauza bei za juu. bei ya juu unazalisha wewe?Bei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
wakati wa kusaini miswada ya mafuta na gesi kwa dharura pale bungeni walikuwepo wazungu wengi wakishudia namna miccm ilivyokuwa inashambulia wenzao wa upinzani leo wanajiita wazalendo.Ni kweli mkuu Tanzania mpaka sasa hatuna Mafuta,ila tumefanikiwa kuwa na gesi pekee Mafuta bado tunaagiza.
Kote huko ulikuwa unafikaje bila ya Mafuta? Au ulikuwa unatimia baiskeli? Acha uzandikiTuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
MkuuTuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Mkuu
Hakuna dollar hata mia hapo BOT.
Mchizi wangu alikua anatuma TT ulaya,wiki sasa ipo foleni!
Leo wateja wa BancABC wametumiwa meseji kua kutakua hakuna huduma ya TT kuanzia tarehe 1 July.
Mawe hana dollar ya kuagiza mafutaaaaa!
Thats the bottomline!
Na hakuna nchi ya kumsaidia vi-dollar,kila nchi ipo serious na Covid-19!
Aisee huyu jamaa ni failure!
Kuna chama hakina hata ofisi lakini wanachama na wapenzi wake wanaamini ndicho chama kinachoweza kuwaletea maendeleo Watanzania.Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji mzima mafuta yapo sheli moja watu mnagombania mafuta.
Naomba Serikali wafanye kazi la sivyo tunaenda kwenye janga kama la sukari.
Kama nilivyoahidi jana, leo nimepita vituo ambavyo jana havikuwa vikiuza mafuta. Nimekuta wanauza mafuta kwa sana. Nadhani nyote mnaona nini kimetokea. Wanaficha mafuta kusubiri mabadiliko ya bei. Wote hawa ni wahujumu uchumi. EWURA fuatilieni suala hili kwa makini.Nimepita kule Dodoma vituo karibu vyote haviuzi mafuta isipokiwa Puma tu. Nasema haviuzi na siyo kweli kwamba havina mafuta. Leo ni siku ya Jumanne tarehe 30/6/2020. Kesho ni tarehe Mosi Julai 2020 na ni Jumatano ya kwanza ya mwezi ambayo EWURA hutangaza bei mpya za mafuta. Nasubiri kesho ili niwaeleze nini kitajiri kuhusu mafuta kupotea ghafla.
yapo wapi tukachukueHe mafuta yapo Ila watu wanataka faida mara mbili
Hawa jamaa wana porojo nyingi Sana.Wananchi wanunue na kuficha mpaka yaishe kwenye petrol station! Acha utetezi wa kijinga. Hizi ngonjera za kitoto zilikuwa pia kwenye sukari.
Ilo swali muulize unaemshabikia viongoziyapo wapi tukachukue
Jamaa anadhani kuhifadhi mafuta majumbani ni jambo la mchezo mfano petrol na joto Kali italipuka na utaunguza nyumbaHaa! hilo la watu kununua mafuta na kuhifadhi nyumbani siyo kweli uhifadhi mafuta nyumbani ili iweje
Yaa ni kweliBei iliposhuka hapa katikati watu wengi walinunua mafuta wakahifadhi nyumbani. Pia wamiliki wanauza mafuta kidogo wakisubiria bei ipande.
Kusema nchi haina mafuta huo ni urongo.
Yeye anadhani ni km kuhifadhi madumu ya majiJamaa anadhani kuhifadhi mafuta majumbani ni jambo la mchezo mfano petrol na joto Kali italipuka na utaunguza nyumba