Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi
2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo
3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea
4. Uhuru wa kuchagua na kugombea
5. Wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uhesabuji wa kura halali
6. Kuruhusu wanachama, wananchi kumchagua kiongozi wampendaye
Haya mambo ni magumu sana kuonekana ndani ya nchi yetu kwenye chaguzi mbalimbali. Wanaopigania TUME HURU nadhani mmeelewa kuwa Tume huru haiwezi kuwa huru bila kuwa na watu huru na watu huru hawapatikani kirahisi, wanaandaliwa kwa kupewa elimu sahihi inayowawezesha kujitambua, kujielewa na kujisimamia na wazelendo wa kweli wa nafsi zao na viapo vyao kama J.J. Mnyika na Dr. Mpango