Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Kabisa, uchaguzi wote na kuhesabu kura zote ziwe live, mubashara on TV, online. Chadema wameonyesha Demokrasia ya ukweli.1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi
2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo
3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea
4. Uhuru wa kuchagua na kugombea
5. Wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uhesabuji wa kura halali
6. Kuruhusu wanachama, wananchi kumchagua kiongozi wampendaye
Haya mambo ni magumu sana kuonekana ndani ya nchi yetu kwenye chaguzi mbalimbali. Wanaopigania TUME HURU nadhani mmeelewa kuwa Tume huru haiwezi kuwa huru bila kuwa na watu huru na watu huru hawapatikani kirahisi, wanaandaliwa kwa kupewa elimu sahihi inayowawezesha kujitambua, kujielewa na kujisimamia na wazelendo wa kweli wa nafsi zao na viapo vyao kama J.J. Mnyika na Dr. Mpango
Mtoe huyo Dr. Mpango hapo, huyo ni sehemu ya watu waliokaa kimya wakati Magufuli akinanisi chaguzi na demokrasia ya nchi hii.1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi
2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo
3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea
4. Uhuru wa kuchagua na kugombea
5. Wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uhesabuji wa kura halali
6. Kuruhusu wanachama, wananchi kumchagua kiongozi wampendaye
Haya mambo ni magumu sana kuonekana ndani ya nchi yetu kwenye chaguzi mbalimbali. Wanaopigania TUME HURU nadhani mmeelewa kuwa Tume huru haiwezi kuwa huru bila kuwa na watu huru na watu huru hawapatikani kirahisi, wanaandaliwa kwa kupewa elimu sahihi inayowawezesha kujitambua, kujielewa na kujisimamia na wazelendo wa kweli wa nafsi zao na viapo vyao kama J.J. Mnyika na Dr. Mpango
Weeeee ccm wahesabu kura hadharani ? Thubutu lazima wabebe masanduku ya kura waendenayo chumba chenye Giza waje na maigizo ya ushindi wa 99%.1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi