Hapo umeamka unayo uhakika wa kula na kwenda chooni kwa pesa za umma ulizokwapua; unaanza kuandika uharo mtupu. Yaani akina Ally Kibao walikuwa na makosa gani hadi wauawe kikatili na hakuna aliyewajibishwa hadi leo.
Punguza upumbavu ili uone uhai wa watu wengine kuwa ni muhimu pia, serikali inayoshindwa kuwalinda watu wake dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wanaojiita wasiyojulikana wana maana gani sana kuongoza.
Wa kuumiza watu?Hapo nyuma kidogo palisemwa kuwa Taifa lilipofikia linahitaji rais dikteta.
Dikteta akaingia na akatawala kidikteta kweli kweli
Upinzani makaminywa mazaga
Vyombo vya habari vikaminywa mazaga
Wapinzani wakatekwa
Wapinzani wakauwawa
Risasi zilirindima mchana kweupe
Utenguzi wa watendaji bila kufata process
Katiba ikakanyagwa
Ikulu ikahamia bungeni
Bunge likahamia ikulu
Diktata kafa kazikwa
Demokrasia za 4R’s Zikaanza
Maandamano yakarudi
Mikutano ya hadhara ikarudi
Vyombo vilivyofungiwa vikaachiwa
Uhuru wa watu ukapitiliza hadi kutamani kunyea ikulu
Udikteta umeanza kurudi
Nadhani ni muda sahihi kuipongeza serikali kuanza kutawala kidikteta kama tulivyowapongeza wendazao
Ameyn
Condoms zingesaidia huu uzi kutokuwepo ila ndio hivyo Baba yake hakuvaa CondomKuna wazazi walizaa watoto wajinga sana.
Kama mzazi wa huyu mtoa uzi.