Nchi hii Uhuru umezidi, maji hayajakatika mwezi sasa kila siku yanatoka

Nchi hii Uhuru umezidi, maji hayajakatika mwezi sasa kila siku yanatoka

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Uhuru umepita kiwango

Hivi maji kutoka kwenye mabomba bila kukatika ni kuzidisha uhuru kwa wananchi hii haikubaliki.

Lazima mgao uwepo na watu wakatafute maji huko mitaani.

Mambo ya kudekadeka kisa ni Rais Mwanamama hayatakiwi.

Waziri wa maji anachangia watu wapate uhuru wa kupitiliza.

NB: Nimekuta mzee Sanga anaziogesha bata na kuku kwa maji ya Bomba na sabuni ya unga uhuru umepitiliza sana.
 
Back
Top Bottom