Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Huwa hai restore back to hivihivi,kuna watu wanakuwa wanaomba,wanaiombea nchi!
 
Duh,balaaa ndo linaanzia hapo
Mimi siwezi kuuza mazao yangu kwa taasisi yoyote ya serikali hata siku moja.

Serikali nzima imejaa wezi watupu kuwauzia mazao yako ni sawa na kuwapa bure wakamalizie maghorofa yao mijini huko.
 
30k hapana siwezi kuuza kama hazitapanda bei nitasubiri mwakani nikilima nikipata zingine probably zitakuwa umepanda bei na mimi nitakuwa nao mwingi.
Mkuu tangu 2019 hadi leo bei haijawahi kupanda maana mpunga upo store na wakulima wanazidi kupanda tu na soko la ndani halina confidence ya kununua na nje huruhusiwi kupeleka kwa sababu za kisiasa ..ukiendelea kubali nao utaoza tu wewe chukua hiyo per gunia Mimi nifanyie biashara na wenye mashine
 
Hapana siwezi
 
Huwa hai restore back to hivihivi,kuna watu wanakuwa wanaomba,wanaiombea nchi!
Wewe uko kiroho zaidi, nafurahi sana kujua hilo. Hili ulilolisema hapa niliamua kuliacha hewani makusudi kukwepa kuzua mjadala mwingine nje ya mada iliyopo. Angalia post hii hapa kwa mfano #335 . Hapa duniani mtu akinyimwa hekima ya kumjua Mungu, anakuwa anatembea na tiketi ya kifo maisha yako yote, hata kama kwa bahati tu atafanikiwa kuishi miaka 120!
Mungu azidi kukubariki sana
 
Hebu peleka upumbavu wako kule. Hivi hapa tunaongelea mkulima mdogo au mkulima mkubwa???
 
Hebu peleka upumbavu wako kule. Hivi hapa tunaongelea mkulima mdogo au mkulima mkubwa???
Wewe umetokea wapi tena?🤣🤣🤣
Haya upo sahihi kabla hata hujanielezea. Wewe ni akili kubwa. Endelea na wengine.
 
Bashite move on ili.mradi uliambulia vile vichina vyako shukuru Mungu acha ngebe wewe magufuli kaenda zake
 
ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.

Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Sera nyingi siyo shirikishi ndiyo maana hazifanikiwi 'wanaotunga Sera wanatumia muda mwingi na pesa kutengeneza hizo Sera ambazo mwisho wa siku hazina tija'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…