SoC04 Nchi iliyobarikiwa ikithubutu

Tanzania Tuitakayo competition threads

Tunu cardbean

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
3
Reaction score
2
Tanzania tuliyonayo ni nchi bora kama yafuatayo yangezingatiwa tangu watoto wakiwa wadogo

1. Ufundishwaji wa elimu ya fedha mashuleni ,hii ingesaidia kujua namna ya kuzingatia matumizi na kuangalia fursa zilizopo nakujua kuzitumia.

2. Uthubutu na kujiamini, kunatakiwa kupaliliwa kuanzia ngazi ya familia mathalani jambo hili halijatiliwa mkazo kwenye familia na hata ngazi za elimu, hivyo kushindwa kujielezea kwa wengi wa watanzania na kuonyesha uthubut kwenye vitu wavitakavyo imesababisha wengi kukosa fursa mbalimbali zenye manufaa

3. Kukosa uzalendo na umoja uzalendo uhimizwe mashuleni na majumbani na hivyo kuzalisha vijana watakaopenda nchi na maendeleo ya nchi sio kukimbia nchi ili kukumbilia fursa nje ya nchi, bali kutengeneza nchi ambayo itakuwa na fursa kwa kila mtanzania. Na pia itahimiza watu kupenda lugha yao na kujifunzaa
tukiahorikiana tutaweza kuzalisha tanzania mpya!
 
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…