ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
Habari za Asubuhi wana jf!!
Jana nilisimamishwa na Polisi mida ya saa mbili usiku na akaanza kunihoji
Polisi-jina lako nani
Mimi-naitwa ******* ******** nikamjibu
Polisi- kwa sauti ya ukari (Unaenda wapi saa hizi)
Mimi-kunnua maziwa
Polisi-mbona umevaa kanzu na unafuga uchafu (ndevu)
Mimi-wewe msafi mbona unakaa na kinyesi tumboni
Polisi-unajimfanya mjeuri
Mimi-mi nawahi maziwa naona unanichelewesha tu
Polisi -ujue Mimi ni Polisi huku akitoa kitambulisho
Mimi-ujue Mimi pia ustadhi au huoni kanzu
Polisi-Afande Issa lete pingu kuna kijana anasumbua
Mimi-Raia mkakamavu hawezi kumkamata mwanajeshi hata siku moja!!
Polisi-sikujua Mkuu hakudai hata kitambulisho
JKT oyeeeeeeee!! kwa Mara ya kwanza nimeona faida za jkt
Narudia tena JKT oyeeeee!!
NASAHA
Polisi nyinyi jukumu lenu ni kutulinda sisi wananchi na sio kutunyanyasa na kutuchukulia elfu kumi kumi zetu.
Wewe kuwa Polisi haimaanishi utuonee tu
.