Kwa hali tuliyo nayo kwa sasa, ni vigumu sana kuhamasisha uzalendoTunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Chawa kama chawa tukutane 2025Miaka mingi uko JF, ila hata akili hujaongeza kidogo, pumbaf ww, iweje unaongea uongo wa wazi, yaani reference yako ni report ya CAG ndio useme nchi imeoza? Huna adabu wewe, omba radhi haraka
🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🤣🤣🤣Tuvumilie labda wataingiwa na huruma au watachoka kuiba.
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!Umetukana sana nchi hii, mimi narudi Tz wiki ijayo, hata huku Johannesburg, S. Afrika, yaani S. Africa umeme mgao ni mkali sana, tena angalia online Load shedding schedule, kila siku na ni miaka mingi ijayo S.A umeme utakuwa ni mgao kila siku for many years ahead..
S.A. ni nchi yenye uchumi mkubwa sana na inazidi nchi nyingi za Ulaya, ila umeme unakatika hadi mara 5 kwa siku, sasa hivi ni level 6.. Ingia google uone
Sasa ww unatukana nchi imeoza kweli? Kisa umeme kukatika kidogo tu sbb ya mvua, tumeoza kweli? mimi damu ya kijana CCM hadi roho na damu, unasema hivyo, kwanini lkn unaitusi nchi yetu nzuri kiasi hiki wewe? Unaweza dhibitisha tumeoza!?
Omba radhi haraka sana, JF utafungiwa maisha, serikali ipo aisee, ww ni pumbaf
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!Umetukana sana nchi hii, mimi narudi Tz wiki ijayo, hata huku Johannesburg, S. Afrika, yaani S. Africa umeme mgao ni mkali sana, tena angalia online Load shedding schedule, kila siku na ni miaka mingi ijayo S.A umeme utakuwa ni mgao kila siku for many years ahead..
S.A. ni nchi yenye uchumi mkubwa sana na inazidi nchi nyingi za Ulaya, ila umeme unakatika hadi mara 5 kwa siku, sasa hivi ni level 6.. Ingia google uone
Sasa ww unatukana nchi imeoza kweli? Kisa umeme kukatika kidogo tu sbb ya mvua, tumeoza kweli? mimi damu ya kijana CCM hadi roho na damu, unasema hivyo, kwanini lkn unaitusi nchi yetu nzuri kiasi hiki wewe? Unaweza dhibitisha tumeoza!?
Omba radhi haraka sana, JF utafungiwa maisha, serikali ipo aisee, ww ni pumbaf
Kwa kweli, itabidi tuwashitaki kwa Mungu tu,, maana sisi hatuna cha kuwafanya, maana wana nguvu nyingi kutuzidiLabda wakishiba kuiba wataacha. Hatuna cha kuwafanya ni Kuomba Mungu washibe haraka kabla hatujachoka ssna
Naunga mkono hojaUmesema ukweli kabisa.washauri wa mama mwambieni watz 99%tunataka ajiuzulu ili aje mzalendo atakaye shughulikia ufisadi ambao umekithiri haijawai tokea tangu uhuru
Hata mimi na always nawasisitizia rafiki zangu waliopo serikalini kufanya hivi😀Hata mimi ningepewa kitengo ningechota bilioni kadhaa na kutulia
NI kweli, lakini mnautumia vibaya sana kwa kuiba na ufisadi mbaya zaidi haijawahi kutokea tangu Taifa ili liwepoMama anaupiga mwingi wewe boya,tunampenda mama ana utu ndani yake
Akili zako ziko kwenye makalio, umezikalia..Tengeneza umeme wako wenyewe Njia zipo yingi, weka maji Yako mwenyewe , tafuta hela kivyako hakunaga sehemu yeyote mtu kasaidiwa na nchi
Unaidai serikali?Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Zako ziko mk''''''nduniAkili zako ziko kwenye makalio, umezikalia..
Mwehu tu huyooKamwambie baba ako bac achukue nchi ili aiongoze vzur kama unaona mama afanyi vzr
Yes, kwasababu Magu alikuwa hakai ikulu anakufuata hata kama uko mbali naye so wanajua watafukuzwa ila Kwa huyu mama wanadharau Kisa ni mwanamke acha tu hujui Hilo mie najuaKwa kila siku inayopita mambo yanazidi kuwa magumu. Wakati wa JPM mafundi wa Tanesco wanakuja fasta na bajaj ukiwa na tatizo la umeme nyumbani tena wanakupigia simu wapo njiani. Sasa ni kimyaa.