Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Hana akili huyuMiaka mingi uko JF, ila hata akili hujaongeza kidogo, pumbaf ww, iweje unaongea uongo wa wazi, yaani reference yako ni report ya CAG ndio useme nchi imeoza? Huna adabu wewe, omba radhi haraka

mkuu kuna mijitu ya ajabu sanaHivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!
Ina maana tukiona
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!
Kama wewe unalamba asali, tunaomba ulambe kimya kimya pumbavu mkubwa sana wewe.
Watu tunahangaika na maslahi ya nchi halafu wewe uko kutisha tisha watu..
Kwa hiyo S.A ndo kipimo cha kuipimia nchi yetu?
Mbona awamu iliyopita umeme haukuwahi kukatika kwa kipindi chote cha miaka 5?!
Acha ujuha
Ni mama Samia suluhu Hassani mpaka 2030 ,hiyo ndio kiu ya watanzania na ndio maamuzi ya watanzania kumpatia zawadi Rais Samia ya Kura za Ndio kwa kishindo uchaguzi ujaoChawa kama chawa tukutane 2025
Wewe ni Chawa na Kiroboto Mpumbavu tu. ShenzyyyNchi IPO imara na inasonga mbele kimaendeleo katika kila secta chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais mama samia suluhu Hassani,huduma za kijamii Ni Bora na zinaendelea kuboreshwa na kusogezwa karibu ya mwananchi.
Kwa Sasa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vimejengwa nchini kwote na kupelekea wanafunzi wote wanaofaulu kuanza masomo kwa pamoja,Elimu Ni bure Mpaka kidato Cha sita,bajeti ya mikopo ya Elimu ya juu imeongezeka na kufikia billioni Mia sita 54, wanafunzi wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida.
Vituo vya Afya vimejengwa kila Kona,zahanati kila Kijiji na mtaa, huduma za kibingwa zimeboreshwa na kutolewa hapa hapa nchini badala ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi, madawa na vifaa Tiba vipo vya kutosha mahospitalini bila kusahau wataalamu wa Afya ambao wamekuwa wakiajiriwa na serikali hii ya Rais Samia kila wakati,
Ukienda katika kilimo Ni Tabasamu na matumaini tupu hasa baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini pamoja na kuongeza bajeti ya kilimo kufikiA billioni Mia Tisa na point ,Bei nzuri ya mazao kwa wakulima.
Ongezeko la mapato kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo kukimbizana Wala kufungiana biashara mitaani,hii yote Ni kutokana na ushupavu na umadhubuti wa serikali ya Rais Samia,kujenga mazingira mazuri ya kibiashara, mahusiano mazuri na wafanyabiashara n.k
Kuvutia wawekezaji na watalii,kwa Sasa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia na serikali yake imeifanya Tanzania kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii hasa baada ya kufanyika juhudi za makusudi za kuitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kupitia wazo la mh Rais la Royal Tour.
Mbona hulinganishi ila unasimulia hadithi za wafu na walio hai?Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
sasa si ungekaa kmySisi wengine tunaotamani kuona siku moja ccm inatoka madarakani, tukiona mada kama hizi huwa tunajinyamazia tu kimya.
Kila kitu kimesimana πππTunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Nchi imekuwa kama jalala... inanuka rushwa kila mahali. Bi tozo hana la maana ni bure kabisa.Miaka mingi uko JF, ila hata akili hujaongeza kidogo, pumbaf ww, iweje unaongea uongo wa wazi, yaani reference yako ni report ya CAG ndio useme nchi imeoza? Huna adabu wewe, omba radhi haraka
Bora umesema mkuu..kuna mijitu hovyo kabisa,yaani eti tuone ni sawa umeme kukatika nchini kwetu kisa S.A nako unakatika.Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!
Ina maana tukiona
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!
Kama wewe unalamba asali, tunaomba ulambe kimya kimya pumbavu mkubwa sana wewe.
Watu tunahangaika na maslahi ya nchi halafu wewe uko kutisha tisha watu..
Kwa hiyo S.A ndo kipimo cha kuipimia nchi yetu?
Mbona awamu iliyopita umeme haukuwahi kukatika kwa kipindi chote cha miaka 5?!
Acha ujuha
Hata mimi ningepewa kitengo ningechota bilioni kadhaa na kutulia
wewe ni zuzu utawala wa jpm watu hawakuiba?Umesema ukweli kabisa.washauri wa mama mwambieni watz 99%tunataka ajiuzulu ili aje mzalendo atakaye shughulikia ufisadi ambao umekithiri haijawai tokea tangu uhuru
Unaandika nini mkuu? Wewe ni chawa?Mnakuza mambo sana nyie sukuma Gang kamfufueni muzikwe nyie
Siku tukiwa na akili kama wakenya huu ujinga utakoma.Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!