Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
ππBaada ya mechi ya jana ile ligi ya Chama na Pacome nani mkali imeisha rasmi.
Saizi ni Pacome na Chasambi nani mkali
Pacome kacheza jumla ya dakika 540 hapo bila kuhesabu na za nyongeza
Kafunga bao 3 na assist 2
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga goli 1.
Chasambi akipewa dakika 540 anaweza kufanya makubwa zaidi.
Kumfananisha Chama na Pacome ni upumbavu.ππ
Kwa hiyo Pakome sio size yake Chama? Noted