Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Wakati wa jpm nchi ilikuwa imeparaganyika watu wakabaki wanaogopa tu wale wasiojulikana na yeye mwenyewe akqbaki anawinda wanaomkosoa ili wauawe au wapewe makesi ya ajabu.
Sasa nchi imetulia tuliii na watu wameanza kupumua na kutoa ya moyoni yaliyokuwa yanawasibu Mana kipindi kile kulikuwa hamna sehemu ya kuongelea kiasi kwamba ukiongea tu amaunafilisiwa au unapigwa risasi.
Mama kaja kivingine na watu wameanza kufurahia utanzania wao. Akina ndugai wamechanganyikiwa wanaona kuwa wanavuliwa nguo mchana kweupe Mana wameshazoea mabavu na walitegemea mama aendeleze mabavu yaleyale.
Ee mungu shukrani kutupa mama huyu na kuliondoa dubwana lile
Sasahivi hamna ukabila, udini Wala ukanda vitu ambavyo vilikuwa vimeshamili enzi hizo